Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mawakala wa Vyama wataruhusiwa kuwepo kwenye Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura ila hawatakuwa na Mamlaka yoyote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi Jaji mstaafu Mbaruk Mbaruk anesema Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura Mawakala wa Vyama Vya Siasa wataruhusiwa kuwepo lakini hawatakuwa na mamlaka yoyote ya kuingilia Watendaji wa Tume Katika utendaji wao

Source Mwananchi

Mwisho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Mwanzo wa Uchaguzi mkuu

Baadae Mlale Unono 😀😀
 
Hamna Maana nyie!
 
Back
Top Bottom