Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi Jaji mstaafu Mbaruk Mbaruk anesema Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura Mawakala wa Vyama Vya Siasa wataruhusiwa kuwepo lakini hawatakuwa na mamlaka yoyote ya kuingilia Watendaji wa Tume Katika utendaji wao
Source Mwananchi
Mwisho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Mwanzo wa Uchaguzi mkuu
Baadae Mlale Unono ππ