UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Jamani, nimepitiwa au ndo hali halisi. Mbona sijasikia kama Tume ya Uchaguzi wako tayari kuruhusu uwepo wa vyombo vya habari kwenye chumba cha kujumlishia na kutangazia matokeo ya uchaguzi mkuu?
Naamini kama wangefanya hivyo, na kukawa na chumba maalumu kwa kazi hiyo, vyombo vingi vya habari, hasa vituo vya TV vingekuwepo kutupatia live updates.
Hiyo pia ingewasaidia tume yenyewe kuepuka lawama na tuhuma za kuhusika kuchakachua matokeo.
Mhe. Makame, vipi hapo?
So, you mean NEC is involved in the evil strategy behind the curtain? But, having open tallying would make them more credible than getting involved in chakachuaring the results.