Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi (NEC) mjipange vizuri kiusalama kuhusu wadukuzi wa matokeo yatakayokuwa yanatumwa kwenu

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,113
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .

Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
 
Kazi tuliisha anza tangu zamani sasa tunakwenda kumaliza October 29,30 ili tujipange zaidi na new generation of bots 2025.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu.lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Mbona Lumumba hamjiamini sana??? Tatizo liko wapi???? Si mnasema Tume wako vizuri??!

Kweli Lumumba mna hali mbaya sana mwaka huu!!
 
Kama huelewi kilichoandikwa ni bora kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya
 
Nina wasiwasi na yule puppet aliekua ubelgiji,ndio maana akasema ataingia mtaani,utasemaje hivyo hata kura hazijapigwa?
 
Ukweli ni kuwa hakuna namna magu atashinda kihalali mwaka huu. Akishinda ni kwa wizi na upinzani hasa Lissu amejipanga kuwa hakuna wizi unaofanikiwa mwaka huu. Mkiiba tuko mtaani mtupige risasi wote muishie ICC
 
Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.

Ni jukumu.lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Uoga wa nini na mgombea wenu anakibalika amefanya mengi tokea tupate uhuru?😊😂😂😂
 
Mkuu.unaomba ajira kijanja..toka Utambulisho wa Jina.lako.halisi
 
Back
Top Bottom