thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Mbona Lumumba hamjiamini sana??? Tatizo liko wapi???? Si mnasema Tume wako vizuri??!Naomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.
Ni jukumu.lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Kama huelewi kilichoandikwa ni bora kuficha ujinga wako kwa kukaa kimyaMbona Lumumba hamjiamini sana??? Tatizo liko wapi???? Si mnasema Tume wako vizuri??!
Kweli Lumumba mna hali mbaya sana mwaka huu!!
Hakuna logic yeyote kwenye ulichoandika. Ukweli ni kuwa mwaka huu CCM hamuibi kura na mkijaribu tu lazima mkione cha mtema kuniKama huelewi kilichoandikwa ni bora kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya
Ukweli ni kuwa hakuna namna magu atashinda kihalali mwaka huu. Akishinda ni kwa wizi na upinzani hasa Lissu amejipanga kuwa hakuna wizi unaofanikiwa mwaka huu. Mkiiba tuko mtaani mtupige risasi wote muishie ICCNina wasiwasi na yule puppet aliekua ubelgiji,ndio maana akasema ataingia mtaani,utasemaje hivyo hata kura hazijapigwa?
Jamii forum ndio tume ya uchaguzi?Kimbilio Lao Ni kushambulia kwa virusi server za JF
Uoga wa nini na mgombea wenu anakibalika amefanya mengi tokea tupate uhuru?ππππNaomba kuwapa angalizo tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) kuhusu wadukuzi wa matokeo ya kura zinapokuwa zinatumwa kwenu hapo makao makuu .
Kuna tetesi kwamba wapo baadhi ya watu wamejipanga Ku-tamper mfumo wa ukusanyaji matokeo kama ilivyotaka kufanyika 2015 na hatimaye wahalifu wale kukamatwa wakiwa na vifaa mbali mbali.
Ni jukumu.lenu kuwa makini sana kwenye suala la kuwa na mabingwa wabobezi wa tehama.
Kulinda majumuisho ya kura ni kulinda amani na utulivu wa taifa
Natahadhalisha ,vijana mu watukutu sana ,mnategemea fujo itokee mpore mali za watuMkuu.unaomba ajira kijanja..toka Utambulisho wa Jina.lako.halisi
Wapo humu sana tu,wewe mgeni hapa jukwaani?Si uwafate hao NEC au uliambiwa wako humu
πππππUoga wa nini na mgombea wenu anakibalika amefanya mengi tokea tupate uhuru?ππππ