Tume ya uchaguzi Tanzania iko vizuri ona Uganda Bob wine kamaliza kupiga kura kituoni leo asubuhi ona vurugu kituoni utafikiri mkutano wa kampeni

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Leo Uganda wanapiga kura uchaguzi mkuu
Tume ya uchaguzi Tanzania iko vizuri ona Uganda Bob wine kamaliza kupiga kura kituoni leo asubuhi ona vurugu kituoni utafikiri mkutano wa kampeni
 
Siyo tume ya uchaguzi, ni raia wa Tanzania wako vizuri na wamestarabika.
Tatizo kubwa Tanzania ni watu wachache, baadhi ya viongozi na watumishi wa uma ambao hufanya matendo yanayotiliwa shaka wakati wa uchaguzi.
 
Usisifie Tume, Sifia Polisi wanaotumiwa hovyo na CCM
 
Huu ni mwaka wa madikteta aisee hata yakiiba kama hapa lakini yanakipata! Vijana wadogo wanawasotesha nyani wazee vikongwe ulimi nje!
 
Huu ni mwaka wa madikteta aisee hata yakiiba kama hapa lakini yanakipata! Vijana wadogo wanawasotesha nyani wazee vikongwe ulimi nje!
Museveni yuko fit wewe cheki hapo akipiga push up kwenye kampeni ya uraisi issue sio uzee ni fitness

Usiipe kichwa tume, hujui kwa nini ayo hayatokei Tanzania, but ili ufahamu hilo tambua watanzania bado hawako tayari kwa mabadiliko au kusimama.
 
Akili zako unazijua wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…