Wakuu Focal point ya mpira wa Tanzania ni TFF. Sasa TFF wakiyumba/kupotoka huku chini kunakuwaje?
Hizi sauti zilizojitokeza zinahitaji tathmini, zinahitaji muda kuzisikia, kuzichambua na kisha kupatiwa majibu au ufumbuzi.
Yawezekana zinatokana na interest za watu fulani lakini yawezekana pia ikawa ni A NEW CALL ya mpira wetu na namna tunavyouongoza na kuuendesha kujitizama na kujipima.
Maybe just maybe