Tume ya Uchaguzi: Tuchague kiongozi tunayemtaka au kiongozi bora??

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
7,375
Reaction score
6,958
Ninatatizika na tangazo moja hivi la tume ya uchaguzi linalosisitiza watanzania kujitokeza kuchagua viongozi, linasisitiza wananchi wachague viongozi wanaowataka.......

Mimi naona sio sahihi kuchagua kiongozi unayemtaka tu, kwani inaweza kuwa unamtaka sababu kakupa Tshirt, kanunulia chakula, au kwa ujumla kakuhonga ili umuone anafaa...lakini ni fisadi mkubwa au/na hafai kuwa kiongozi kabisa.

Naamini sahihi ni kuchagua kiongozi bora...if posiible warekebishe ianaweza kuwapotosha wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…