Tanzanite😀😀Hivi gazeti la serikali ni lipi?
Swali la msingi sana hili.Hivi gazeti la serikali ni lipi?
SheriaInamaana hawakuona ile hotuba ya mzee baba alivyojipinda kuelezea Mambo yote yale na kuvunja bunge bado wanasubiri tangazo..!!
Dah! Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha
[emoji23][emoji23][emoji23]Tanzanite[emoji3][emoji3]
Tusubir majibuSwali la msingi sana hili.
Hilo ni takwa la kisheria.Inamaana hawakuona ile hotuba ya mzee baba alivyojipinda kuelezea Mambo yote yale na kuvunja bunge bado wanasubiri tangazo..!!
Dah! Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha
na jamvi LA habariTanzanite😀😀
habari leoHivi gazeti la serikali ni lipi?
gazeti la serikali ni habari leoTusubir majibu
Deile Nyuuz..Hivi gazeti la serikali ni lipi?
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la Serikali la kuvunjwa kwa Bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya Uchaguzi Mkuu.
Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Wilson Mahera amesema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa habari jijini Arusha na kusema baada ya tangazo hilo tarehe itatangazwa.
Amesema Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kifungu 37(1) kinaielekeza Tume kufanya uteuzi kwa wagombea nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Pia, amesema sheria hiyo kifungu cha 46 (1) kinaelekeza kuwa tarehe ya uteuzi wa wagombea itatakiwa kutajwa ndani ya siku 60 hadi 90 kabla ya kutangazwa siku ya uchaguzi.
Ujue katiba na sheria vinaelekezaje usiwe juha!Inamaana hawakuona ile hotuba ya mzee baba alivyojipinda kuelezea Mambo yote yale na kuvunja bunge bado wanasubiri tangazo..!!
Dah! Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha
Ungehifadhi ufahamu wako mbele ya kadamnasi kwa hili.Inamaana hawakuona ile hotuba ya mzee baba alivyojipinda kuelezea Mambo yote yale na kuvunja bunge bado wanasubiri tangazo..!!
Dah! Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha