Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Waliohukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, kuondolewa kwenye daftari la Wapiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wapiga kura wanaostahili kushiriki katika chaguzi wanakidhi vigezo vya kisheria na maadili ya uraia.

Your browser is not able to display this video.
 
wakati wenzetu wa South Africa, Ghana, Kenya, Nigeria, Zambia na Uganda (source:grok AI) waanruhusu wafungwa kupiga kura sisi tunawakataza. sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…