Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imesitisha Uchaguzi wa Ugavana katika Kaunti za Kakamega na Mombasa, kutokana na makosa ya uchapishaji kwenye karatasi za kupigia kura
Pia, Uchaguzi wa Wabunge katika Majimbo ya Kachiliba na Pokot Kusini umeaahirishwa hadi pale tarehe nyingine ya Kupiga kura itakapotangazwa kupitia gazeti la Serikali
---
IEBC Suspends Governor Elections in Kakamega, Mombasa over Printing Error The electoral agency has suspended gubernatorial elections in Kakamega and Mombasa counties over printing errors on ballot papers.
Also suspended are MP elections in Kachiliba and Pokot South constituencies. Elections will be held on a later date to be announced via the government gazette
Source: NTV Kenya