Tume ya Uchunguzi wa Matokeo

Tume ya Uchunguzi wa Matokeo

MILITARY

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
64
Reaction score
29
Wana Jf hamjambo? Asanteni kwa ukaribisho.

Jaman ile tume ya kuchunguza sababu za wanafunzi kufeli mwaka 2010 majibu yake yalifanyiwa kazi au ilikuwa usanii
 
Ni kweli kwamba mwaka 2010 matokeo ya kidato cha Nne hayakuwa mazuri hali iliyopelekea serikali kuunda tume ili kutafuta chanzo na sababu za hali hiyo. Tunapenda watanzania wapewe matokeo ya uchunguzi wa tume hiyo kabla ya kupoteza fedha za walipa kodi kwa kuunda tume nyingine kwa ajili ya suala lile lile.
 
Tume ya nini wakati shule moja walimu 10 7 wanafundisha kiswahili.
 
Back
Top Bottom