Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo
Amesema, “Tutoe onyo kwa watu/Taasisi za Mikopo zinazowanyima haki ya faragha wateja kwa kuweka mikataba mibovu ya mikopo ambayo mteja asipoweza kulipa kwa wakati jumbe za kudhalilisha utu wake zinatumwa kwa watu wake wa karibu. Waache mara moja”

Hili Agizo ni kama limechelewa. Kwani Mkurugenzi alipopitisha Kibali cha hizo Taasisi na Watu Binafsi hakukagua na kusoma kwa undani Memorandum ofUnderstanding (MoU) walizowasilisha kwake kuomba kibali? au ilikuwaje.... halafu sasa watu wengi wameshaumizwa ndipo anazinduka?
Yan mwamba hapo umebugi sana katika makampuni ambayo hayana shida bas ni branch kwa mda wakulipa unachagua mwenyewe tena mwezi mmoja hadi miwili tena riba yao ndogo sana alafu hawana Mambo mengi sijui yakupiga picha sijui ya kitambulisho wala nini
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo
Amesema, “Tutoe onyo kwa watu/Taasisi za Mikopo zinazowanyima haki ya faragha wateja kwa kuweka mikataba mibovu ya mikopo ambayo mteja asipoweza kulipa kwa wakati jumbe za kudhalilisha utu wake zinatumwa kwa watu wake wa karibu. Waache mara moja”
Mimi mwenyewe ni muhanga wa Hilo nilikopa kwenye moja ya wakopeshaji online nilikua nashida ya haraka sana nilikua shamba kuna rafiki yangu akaniambia kopa online nichap mpkaa mtu upate mtu wakukukopesha haraka muda unaenda nikakopa Sasa nikachelewa kulipa ndani ya zile siku sita kwasababu nilikua shamba na hata nilipowaambia mahali nilipo nichangamoto kupata wakala kwa haraka walikataa ilipofika saa 2 usiku mtu wakwanza kunipigia nibosi wangu kazini nanilionekana mm tapeli watu wote ambao namba zako zipo kwenye simu yangu walitumiwa meseji na ushahidi meseji nihii.
HABARI NDUGU AMA JAMAA WAKARIBU WA YUSUPH SHABAN MBWAMBO MWENYE UMRI WA MIAKA 34 NO; 0677xxxxxx AMEKOPA KIASI CHA SHILLINGI 56,700/= KUTOKA KAMPUNI YA MY CREDIT ANATAKA KUTUTAPELI, UKIWA KAMA MTU WAKE WA KARIBU TUNAOMBA UMUAMBIE ALIPE DENI LAKE KABLA HATUJAANZA KUCHUKUA HATUA NYINGINE JUU YAKE.
Makampuni mengi yanaajiri vijana wa kudai madeni , anayedai sanaa ndo analipwa yaani wanatumia nguvu na ideas kama hizo bila kujua kama wanakosea , wao wanachojali ni walipwe ili na wao walipwe basi apo ni mtafutanoa kila kona!
Mi silipi, deni sio dhambi, kama nilishadhalilika nililelewa ukweni nikakojoa hadharani tena mbele ya kadmnasi iliyokuwa msibani, nishakamatwa na wakwe napiga nyeto, kuna aibu gani nyingine, kwanza contact list yangu wote wananijua kwa madeni hamna aibu mpya, sahivi nakopa kwa vitambulisho vingine maana cha kwangu wamekipiga ban
Hakuna eneo wananchi wanapigwa kama hili, mobile loan ni tatizo kubwa Tanzania na halina weledi kabisa .. Imagine mtu anakopewa pesa kiduchu riba lundo ! Wakopaji wanafedheheshwa, wanazalilishwa, wananyanyasika .. Serikali ikomeshe huu wizi, sauti zaidi zipazwe. USTAWI LOANS Mr. Finance wanaongoza kuzalilisha watanzania kupitia hii mikopo haramu.