kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Shule zote za mjini na vijijini, serikali na binafsi, zenye walimu na zisizo walimu, zenye vifaa vya kufundishia na zisizokuwa na vifaa vya kufundishia zoote zinatungiwa mtihani mmoja wa taifa, wanafunzi wanagombania nafasi za kujiunga na vyuo vikuu na ufadhili (scholarships) mbalimbali.
Je, tume ya ushindani mnaona Kuna ushindani hapo au Kuna kundi Moja linapendelewa na kufaidika zaidi kuliko kundi lingine kwenye Elimu?
Ni kweli wanawafunzi wote nchini wanaweza kushindana kwa haki kufanya mtihani mmoja ili kugombania nafasi mbalimbali zinazohitaji ufaulu mzuri na uelewa?