Na mimi naona hii irregularities. Hawawezi kuwa sawaShule zote za mjini na vijijini, serikali na binafsi, zenye walimu na zisizo walimu, zenye vifaa vya kufundishia na zisizokuwa na vifaa vya kufundishia zoote zinatungiwa mtihani mmoja wa taifa, wanafunzi wanagombania nafasi za kujiunga na vyuo vikuu na ufadhili (scholarships) mbalimbali.
Je, tume ya ushindani mnaona Kuna ushindani hapo au Kuna kundi Moja linapendelewa na kufaidika zaidi kuliko kundi lingine kwenye Elimu?
Ni kweli wanawafunzi wote nchini wanaweza kushindana kwa haki kufanya mtihani mmoja ili kugombania nafasi mbalimbali zinazohitaji ufaulu mzuri na uelewa?
Mfano program ambazo zenye ushindani kwenye vyuo vyaHii ndio tanzania yetu mzee
Mfano program ambazo zenye ushindani kwenye vyuo vya
umma eg Health Science I.e MD wengi waodahiliwa ni watoto
wenye unafuu wa kipato waliosoma shule bora za private
wakapata division 1 ya 3 hadi 5. Na wengine walio soma special
Shoool. Masikini ni wakuhesabu na ukizingatia pia ela ya kusoma
vyuo vya private au nje ya nchi hawana ndoto zao zinakufa.
Fair competition commission (FCC) hapa inapepesa macho. Watoto wa wasiokuwa nacho ndio wanakwenda vyuo binafsi vyenye ada kubwa na watoto wa wenye nacho ndio wanaosoma vyuo vya serikali vyenye ada ndogo kutokana na ufaulu. Shule za vijijini (mazingira magumu) havina walimu, libraries, laboratories, mabweni, chakula, umeme, usafiri, stationary na wanafunzi wanafanya kazi nyingi za nje kama kulima, kufagia, kufyeka majani, kuvuna mazao na hata kuchotea maji walimu wao. Lakini mtihani unatungwa wenye mahitaji sawa na wale ambao Kila kitu kipo na wanafanyiwa Kila kitu (usafi, usafiri, chakula,nk).Mfano program ambazo zenye ushindani kwenye vyuo vya
umma eg Health Science I.e MD wengi waodahiliwa ni watoto
wenye unafuu wa kipato waliosoma shule bora za private
wakapata division 1 ya 3 hadi 5. Na wengine walio soma special
Shoool. Masikini ni wakuhesabu na ukizingatia pia ela ya kusoma
vyuo vya private au nje ya nchi hawana ndoto zao zinakufa.
Yeah
Nirahisi kuisikia tume ikihangaika na mambo ya simba na yanga kuliko kusemea na kuja na mkakati wa jambo kubwa kama hili la elimu ambalo linaichana nchi yetu kwenye matabaka. Watoto wa wazazi waliosoma mtaala wa Cambridge sasa hivi ndio waliovijaza vyuo vyetu nchini, hasa vile vya umma na kuwasukuma watoto wa maskini kwenye madeni makubwa ya bodi ya mikopo kwenye vyuo binafsi.