Tume ya utumishi-hongereni mmekuwa wasikivu tunashukuru (wasailiwa)

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Hongereni wale waliokuwepo kwoa yao kwa usaili wa Nyerere Institute Memorial,Tunaona kuwa mnakuwa wasikivu ndio uwazi tunaoutaka kwa wale ambao wamefanya interview wekeni matokeo yao na then aliyepata hi rank apite hiyo nimekubali watu wanaangalia matokeo yao kwenye website yenu au sehemu waliyofanyia mtihani wa usahili,Angalizo fanyeni kwa Haki wala hamtaona malalamiko,hapo na hakikishe hakuna Undugunazation,wala urafikinazation.Keep it up
 
hakuna jipya, wamezengua tu hakuna chochote kwenye web yao, longolongo tu ...!!
 
mkubwa hata mimi nimeanza kuwakubari jamaa lakini wanatakiwa waweke matokeo hayo mapema sana ili watu wano kaaa mbali kama wamekosa wasafiri kurudi makwao ili kuwapunguzia gharama za kuishi mahali ponapofanyika usaili. huenda tukafika mbali kama hawa jamaa watajipanga vizuri. tusiwe watu wakulalamika sana kama mtu amefanya good apongezwe na kama kafanya vibaya ashauriwe akikataa ushauri alaumiwe ikiwa tu hajajirekebisha
 
Naona wamesha weka matokeo wakuu, hii system ya kurusha matokeo kwenye web yao ni nzuri sana. Wameweka matokeo yote kwanzia wakwanza mpaka wa mwisho. Hii iko pouwa sana.
 
Naona wamesha weka matokeo wakuu, hii system ya kurusha matokeo kwenye web yao ni nzuri sana. Wameweka matokeo yote kwanzia wakwanza mpaka wa mwisho. Hii iko pouwa sana.

wee hyo nzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…