HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms.
Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao.
Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu.
Nashauri serikali ifanye maamuzi ya haraka kufungua ofisi za mikoani kwa hiyo ofisi ya Dodoma hamna kitu.
Mwenye mawasiliano yao yanayopatikana wekeni hapa kwa msaada zaidi kwani namba za simu na email zao hapa chini hazipo hewani na somu za watumishi wanazotupa hawapokei wala kujibu sms za wateja wakati wamezitoa wao wenyewe,tatizo ni nini??