taratibu za kazi zinabaki vile vile kama katika sekta binafsi, namaanisha kama alisimamishwa kazi kupisha uchunguzi na alikuwa halipwi mshahara wake basi akirudi lazima alipwe stahiki zake isipokuwa hataweza kulipwa kama alisimamishwa kazi kama sehemu ya adhabu baada ya kikao cha kamati ya nidhamu(disciplinary suspension)Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa mishahara yake kwa kipindi alichokuwa nje ya kazi au hastahili kulipwa?
Naomba msaada hapo.
alisahaulikaMbona hii haikupata wachangiaji
Mkuu hebu fafanua kidogo, anasimamishwa kama sehemu ya adhabu halafu tena anafukuzwa kazi, hapo si zibakuwa adhabu mbili kwa kosa moja?taratibu za kazi zinabaki vile vile kama katika sekta binafsi, namaanisha kama alisimamishwa kazi kupisha uchunguzi na alikuwa halipwi mshahara wake basi akirudi lazima alipwe stahiki zake isipokuwa hataweza kulipwa kama alisimamishwa kazi kama sehemu ya adhabu baada ya kikao cha kamati ya nidhamu(disciplinary suspension)
uko sahihi,ukisha msimamisha kazi kwa sababu za kinidhamu HURUSIWI kumfukuza kazi au kumpa adhabu nyingine inayotoka na kosa alilokwisha adhibiwa,ila kama alisimishwa kazi huku akilipwa mshahara kwa ajili ya kupisha uchunguzi unaweza kumfukuza kazi kwa sababu za kinidhamu. cHECK PAGE NO 69 PARA 5- ON SUSPENSION OF GN 42 OF 2004.Mkuu hebu fafanua kidogo, anasimamishwa kama sehemu ya adhabu halafu tena anafukuzwa kazi, hapo si zibakuwa adhabu mbili kwa kosa moja?
Mbona nyaraka ulioambatanisha sio yenyewe??uko sahihi,ukisha msimamisha kazi kwa sababu za kinidhamu HURUSIWI kumfukuza kazi au kumpa adhabu nyingine inayotoka na kosa alilokwisha adhibiwa,ila kama alisimishwa kazi huku akilipwa mshahara kwa ajili ya kupisha uchunguzi unaweza kumfukuza kazi kwa sababu za kinidhamu. cHECK PAGE NO 69 PARA 5- ON SUSPENSION OF GN 42 OF 2004.
ulikuwa unahitaji document gani? maana nilichoambatanisha mimi ni kesi na pia nimemtajia vkifungu ambacho angekipitia kutoka katika sheria husikaMbona nyaraka ulioambatanisha sio yenyewe??
Swali ni mishahara yake anastahili au hastahili?Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa mishahara yake kwa kipindi alichokuwa nje ya kazi au hastahili kulipwa?
Naomba msaada hapo.