K Kambale1 New Member Joined Jul 9, 2023 Posts 4 Reaction score 7 Jul 9, 2023 #1 Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua. Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo. Asante Mungu azidi kuwabariki.
Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua. Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo. Asante Mungu azidi kuwabariki.