Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekua ana compete nao walijua better.Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
Mkuu Zenj ni lazima uwe na kadi ya CCM ili uweze kuajiriwa na cheti cha itikadi ya chama chao, pia hutakiwi kuwa mpemba. Yaani ni kweli kabisa Mkuu. Kwa kuongezea pia ni lazim uwe na connection nzito yaani kwenye familia yako asikosekane kiongozi.. Na ndio maana baadhi ya wafanyakazi wengi wa Zanzibar hawajui kazi zao wamewekwa tu.