Elections 2010 Tume yaongeza majina hewa 100 hivi kila kituo - ushahidi ni huu?

yesu na maria, ni wapi tunaenda?
sasa uchunguzi mpaka uanze na ukamilike na wafanye mabadiliko si tayari jumapili ya uchaguzi itakua tayari.
 
VoterID19272311

FULL NAMEREGISTRATION\

CENTREREGIONDISTRICT

WARD



chek inavyojibu!!!! haionyeshi namba ni ya nani
 
Inawezekana madai yakawa ya kweli lkn pia Inaweza kana ikawa si kweli.

Ninavyokumbuka mwaka 2005, kuna watu wengi walijiandikisha majina yao, lkn cha ajabu walipokwenda kupiga kura wakaambiwa majina yao hayapo na bahati mbaya Tume haikuwa na Utaratibu wa kusaidiwa watu hawa...so unajikuta Kadi unayo lkn Jina lako haliko Displayed ktk Mbao.

So wakati wa Database Entry kuna uwezekano makosa yalifanyika hasa ya Typing Errors kama wajuzi wanajua hili na hasa ktk Large Scale Entries. Sasa wakati wa Uboreshaji wa Daftari la kupiga kura, watu wengi either hatufuatilii na wengine huwa tunatingwa au tunakua safarini tunashindwa ku-update data zetu.
Bahati Mbaya ni kuwa Vyama vya Upinzani ambao kwa namna moja au ingine hairidhishwi na Utendaji wa TUME ilitakiwa kwanza kuhakikisha mambo muhimu yanakuwa sawa kabla ya Uchaguzi kuliko kusubiri wakati ambao Uhakiki hauwezi fanyika Ipasavyo...Hizi Home zilipaswa kufuatiliwa vyema na Viongozi wa Vyama vya SIASA same kama ilivyofanyika zanzibar ya kuhakiki Daftari la wapiga kura.
 
VoterID19272312
FULL NAME SUBIRA SELEMANI SEGELELENI
REGISTRATION CENTRE OFISI YA WEO 'A'
REGION DAR ES SALAAM
DISTRICT MANISPAA YA ILALA
WARD BUGURUNI




ONA TOFAUTI YAKE, hII ID YA CHINI HAINA JINA


VoterID 19272313
FULL NAME................
REGISTRATION CENTRE.............
REGION............
DISTRICT...............
WARD................


NB: NAOMBENI NAMBA YA NEC
 
yesu na maria, ni wapi tunaenda?
sasa uchunguzi mpaka uanze na ukamilike na wafanye mabadiliko si tayari jumapili ya uchaguzi itakua tayari.

Ndiyo sababu walikawiza kubandika majina ya wapiga kura. Walitaka

kusiweko na muda wa kutosha kufanya uchunguzi. Nadhani NEC inafanya

kazi kwa ushirikiano wa karibu na Rashid Shamte na Majid Kikula.
 
NEC nayo imeisha chakachuliwa!!!!!! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Thank you JF... ama kwa hakika miili ya wanadamu imeumbiwa kuwa na haya! Jana jioni mkurugenzi wa uchaguzi alikuwa anahojiwa na TBC pembeni yake alikuwa IT expert ambaye alikuwa anababaika na kuona haya wakati akijieleza kumbe kilichokuwa kina muumiza roho ni huu uharamia!!! God is always great, MUNGU IBARIKI TANZANIA...
 


Hii ni hatari kubwa sana, bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi kamwe hatutaweza kuwa na uchaguzi huru.
 
VoterID19272311 FULL NAME
REGISTRATION CENTRE
REGION
DISTRICT
WARDVoterID19272348 FULL NAME
REGISTRATION CENTRE
REGION
DISTRICT
WARDVoterID47880568 FULL NAMEHAMISI SELEMANI DULEGE REGISTRATION CENTREOFISI YA WEO 'A' REGIONDAR ES SALAAM DISTRICTMANISPAA YA ILALA WARDBUGURUNI
 
manispaa ya ilala yayari kuna vituo hewa na wapiga kura hewa

kazi ya kikula hiyo akishirikiana na Nzowa toka TISS
 
nimejaribu kumtafuta mnyika kwa namba hii 0784222222 lakini simpati

kuna mtu ana namba yake nyingine anipe?
 
NEC wanacheza mchezo mchafu utakaotuleteleza...
 

nimefanya search kwenye database namba kati ya 19272311 hadi 19272320 nimegundua kuna wapiga kura hewa wawili kwenye database, hivyo habari hii ni ya kweli kabisa
 
It seems to me that the responses are kinda passive.... Comments nyingi ni "...tumeni", "...kwanini tusiwatumie", "...wafikishe taarifa", "...wafuatilie", "...fuatilieni", "...watoe taarifa".

Sioni mtu anayesema "nitafuatilia", "nitatoa taarifa" etc.

Inakuwaje hii?
 
akisio ya awali yanaonyesha kuwa kila kituo wameweka namba zao zisizopungua 100, idadi ya vituo vya kupigia kura Tanzania nzima vipo vituo 53,000 x 100 = 5,300,000.

CCM tayari wana uhakika wa ushindi wa kishindo wa kura za awali bila jasho milioni tano na laki tatu.

Fanya utafiti mwenyewe, fika kwenye kituo chochote cha uchaguzi, hesabu namba zote ambazo hazijandikwa majina, utapata idadi ya kutisha.

Ndiyo maana tumekuwa tukidai NEC huru ili kutuondolea matatizo haya yote.........
 
Hii ni taarifa nyeti sana, hata mimi hapa nimejaribu kuangalia kwenye database yao, mambo sio kabisa, ngoja mimi nipo hapa Geita ngoja nikaangalie, nilikuwa sijashitukia, yaani mimi na notepad yangu hapa tunaelekea vituoni kuangalia kama kuna kasoro zozote.

Duh!!!!!!
 

Mkuu nimechumgulia na haya ndo majibu

VoterID
19272348
FULL NAME
REGISTRATION CENTRE
REGION
DISTRICT
WARD
mambo mswanu kweyi kweyi.
 
Wakuu nimejichungulia mwenyewe katika hii link ya NEC ikanipa majibu kuwa nipo registered.kituoni hakuna majina, je naweza kweda na laptop kama ushahidi siku ya kupiga kura ili tuchungulie wote na msimamizi ili aniwezeshe kupiga kura???
 
Katika kituo hicho hicho ongezea pia zifuatazo ambazo hazina maelezo. 19272344, 19272350, 19271370, 19272382, 19272390 na 19272399. Kwa mawakala wa kituo hicho (WEO A Buguruni ward) mark hizo namba, ni feki (Hewa). naendelea kufukunyua kwenye database.
 
nimeongea na mh. zitto (0713730256) juu ya hili na amesema analifikisha ngazi husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…