Elections 2010 Tume yaongeza majina hewa 100 hivi kila kituo - ushahidi ni huu?

Jamani nisaidie jinsi ya kua access data base ya wapiga kura kwenye website ya NEC maana sioni kitu pale. Nisaidie fasta wakuu
 
Jamani nisaidie jinsi ya kua access data base ya wapiga kura kwenye website ya NEC maana sioni kitu pale. Nisaidie fasta wakuu

kuna sehemu imeandikwa click here to see your status ipo katikati

soma taratibu utaiona naona ua haraka sana
 
Pia card no. 19272350 nayo haina mtu! inamaana hawa tume ndiyo chanzo cha matatizo!
 

hiyo labda ni mwaka 2015 kwa sasa msahau wasimamizi wakura wenyewe wa tanzania wako wapi?ni late san ebu tatueni linaloonekana la watu kufichiwa kadi zao..
 
Kati ya namba 18000000 na 19272400 kuna namba nyingi sana ziko blank. ni jukumu la mawakala kuhakikisha kwamba ni wapiga kura wale tu wenye maelezo yaliyo kamilika ndiyo wanaruhusiwa kupiga kura.

Pia wakati wa kuhesabu kura, note down baadhi ya hizo namba katika hiyo series, ukiona zinajitokeza hakiki tena kwenye daftari la kudumu ili kuona kama zina maelezo kamili.

Kwa mtindo huu, Tume haikutakiwa kutueleza kwamba watu zaidi ya milioni 19 wamejiandkisha ili hali wakijua namba nyingi ziko blank. Kuna harufu ya ufisadi wa kura hapa.
 
NEC HAINA UBAYA IMEWAPA NJIA YAKUHAKIKI HAYA KAZI KWA WADAU Hakikini kuanzia na 1-19,000,000 tuleteeni zote zisizo na majina na vituo vyake
 
00000003, 00000008, 00000009, 00000010, Hii series iko Kata ya Ndoro Lindi. Hizo namba pia hazina details.
 
Wasimamizi wa uchaguzi Wawe Makini
 
Hongereni wote mnaofuatilia haki ya waTZ. Mungu awabariki sana. Ee Mungu fichua kila aina ya uovu wa NEC
 
Tuvalieni njuga hili, hapa ndiyo kwenye mchezo wote. Namba nyingi hazina watu. NEC watueleleze wamepataje Hiyo Total ya waliojindikisha kufikia zaidi 19m ili hali kuna namba nyingi hazina details? Mpaka sasa nina namba zaidi ya 100 nimesearch bila mpangilio hazina details.
 
akisio ya awali yanaonyesha kuwa kila kituo wameweka namba zao zisizopungua 100, idadi ya vituo vya kupigia kura Tanzania nzima vipo vituo 53,000 x 100 = 5,300,000.



Ndiyo maana tumekuwa tukidai NEC huru ili kutuondolea matatizo haya yote.........

Wengi tulimpuuza wa 16 hapa alituambia kuwa CCm wanajiandaa kuingiza karatasi za kura kinyemela million 6 kwa hesabu zilizoongezwa vituoni ya watu 100 kila kituo inakaribia idadi aliyosema Wa 16 nategemea baadaya ya Tume kutambua kwamba wanachi tumegundua janja yao nadhani watasitisha hii dhuluma vinginevyo wameshaingiza nchi vitani
 

Hili system lao
halina Quality Control
Halitofautishi Namba
Wala Helufi

na Hawa wajinga wamefanya makusudi tu
kurahisisha uchakachuaji

Maana hata ukiweka MAHARAGE kama namba linaleta majibu tu


VoterID FULL NAME MAHARAGE
REGISTRATION CENTRE
REGION
DISTRICT
WARD
 
Tafadhali uziprinti na kuweka uthibitisho hivi kama wananchi tuliomo humu JF hatuwezi kuitisha press conference tukubaliane tukutane pale maelezo hata wakituninyima ukumbi tunaweza tukazungumza na waandishi pale njee ,hii ni hatari sana Kumbe kiwkete yuko radhi kwenda IKULU akipanda miili ya watu ,Atambue kuwa yeye ndiye atakeye pata hasara kubwa kuliko wengine ,
 
00000003, 00000008, 00000009, 00000010, Hii series iko Kata ya Ndoro Lindi. Hizo namba pia hazina details.

Ahsante Vijana wetu mulionauchungu wa nchi yetu mimi nililic nilivyoona jina langu na kituo nikaishia kumbe wametengeneza ujanja huo,Nimeshaamini kweli CCM wezi wa kura mwaka huu imekula kwao ,wamemuingiza mkenge Raisi KIKwete hata akishinda kihalali bado wanancchi watakuwa na mashaka ni Lazima aondoke safari hii ili tubadilishe Tume ya uchaguzi na Katiba
 
Hii ni RED ALERT.

Asante Majimoto. Inabidi wenye uwezo wa kufuatilia

wafanye hivyo HARAKA. Ikibidi waonyeshwe waangalizi

wa kimataifa wa kura ili waulizie wao.

Kwa Taarifa nilizonazo, hakuna mwangalizi wa Kimataifa ambaye atasaidia jambo hili, kwa vipi; Mpango uko hivi, nchi hisani zote zinachukia Dk. Slaa kushika nchi kwa vile atavunja mikataba ya Madini, atawashika wezi wa EPA na mambo mengineyo, hivyo wanamtaka Kikwete arudi kwa vile wataendelea kufaidi Raslimari zetu. Wafahamishwe wananchi ili watambue hilo hata ikitokea tumepiga kura na ushindi haukupatikana kwa Dk. Slaa wajue ni kwa nini na ikibidi kuandamana tuandamane.
 
Popote ukiiona namba kuanzia 13547551 hadi 13547756, chukua hatua, hazina watu hizo.
 

JWTZ walikuwa wanapiga kura ndani ya makambi yao ya kijeshi, mwaka huu wameruhusiwa kupigia kura uraiani.

Tume ya uchaguzi itawahakikishia Watanzania kuwa vituo vya makambini vimefungwa, au wamepewa fursa ya kupiga kura uraiani na jeshini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…