Elections 2010 Tume yatoa namna ya kujua kituo chako

CHANGA

Member
Joined
May 26, 2008
Posts
99
Reaction score
27
UKITUMA NAMBA YAKO YA KUJIANDISHA ILIYOKO KWENYE KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA KWENDA NAMBA 15455 KWA MITANDAO YOTE UTAPATA TAARIFA ZAKO ZILIZOKO KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA. VILE VILE UKITUMIA WEB YAO The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage KWENYE REGISTRATION STATUS NA KUINGIZA NAMBA YAKO YA KUJIANDIKISHA UTAPATA TAARIFA ZAKO. TUME PIA WAMEANZISHA CALL CENTRE AMBAYO NI 24HRS KWA WENYE MASWALI YA KUULIZA NO +255 22 2199780. WANAJARIBU KUWA KARIBU NA WAPIGA KURA
 
Nimejaribu kutuma details zangu kwa e-mail ime'fail', nimejaribu tena kutuma msm kutumia hiyo namba hiyo kama robo saa iliyopita hawajajibu pia. Sasa nifanyeje na siku zinaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…