Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 178
Tumekua tukishuhudia kila linapotokea jambo au janga uhudwaji wa tume ili kuchungunza tukio au janga,wakati mwingine hizi tume zinaundwa kuchunguza kitu ambacho kinaonekakana bayana na tume nyingi zinazoundwa matokeo yake au mapendekezo yake yanabaki kuwa siri,au ushauri wake hautekelezwi.Ni wazi ya kua tume hizi zinatumua pesa nyingi za walalahoi,swali linakuja hizi tume ni za nini?!!!Au nao ni mradi wa wajanja furani katika serikali kujifujia pesa chini ya mwamvuli wa "TUME"?Au ni usanii wa Serikali na chama tawala CCM kuzima hoja au kupunguza pressure kwa swala husika.Mfano mzuri ni hili la mauaji Mwandishi wa habari Mwangosi habapo kuna picha na video za kutosha na mashahidi wa kutosha.Hapa tume inatakiwa ichunguze nini?Camera gani ilichukua picha hizo?Muda gani na tarehehe gani lilpotokea tukio hilo?Sare gania walivaa WAUAJIA HAO?Nguo gania alivaa Mwangosi n.k.................................????????
HAINGII KICHWANI MUNGU IBARIKI TANZANIA.
HAINGII KICHWANI MUNGU IBARIKI TANZANIA.