Tumeacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini

mika micah

Senior Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
183
Reaction score
277
Miezi miwili iliyopita nilishuhudia umoja wa nchi wangu. Kila Mtanzania alikuwa na kauli moja. Hii ilinipa furaha na faraja.

But immediately vitu vikaanza kuchange. Tukaacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini.

these mfs are smart and the old strategy DEVIDE AND CONQUER still works.
Once again we have lost....
 
Muungano wa watanzani kwa pamoja ukiachana na wale wasiojielewa ndio umefanya Makosa ya Uhaini yana Dhamana mpaka sasa.

Kumbe wananchi hata robo tu wakiungana wanaweza kuhamisha mlima kilimanjaro
 
But immediately vitu vikaanza kuchange. Tukaacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini.

Vitu vimeanza kuchange immediately au watanzania wameamua kudhihirisha kile kilichoko mioyoni mwao?

Hiki unachokiona kwa wakati huu ndiyo kinareflect kilichoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ila wengi huwa tunavaa ngozi za kondoo.

Waswahili wanasema pata pesa watu wajue tabia yako.
 
Very true and very sad!
 
Watanganyika tumechoshwa na mikataba ya kimangungo. Tunataka mkataba wenye tija kwa Taifa.

Hakika, tofauti mangungo hakupata 10%, free shopping, magari, nyumba na free holidays.

Alidanganganywa hawa wanajua ukweli ila wamekomaa na mkataba mibovu kama kawaida yao, hawataki kurekebisha
 
Back
Top Bottom