mika micah
Senior Member
- Dec 25, 2015
- 183
- 277
Muungano wa watanzani kwa pamoja ukiachana na wale wasiojielewa ndio umefanya Makosa ya Uhaini yana Dhamana mpaka sasa.Miezi miwili iliyopita nilishuhudia umoja wa nchi wangu. Kila Mtanzania alikuwa na kauli moja. Hii ilinipa furaha na faraja.
But immediately vitu vikaanza kuchange. Tukaacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini.
these mfs are smart and the old strategy DEVIDE AND CONQUER still works.
Once again we have lost....
SureWatanganyika tumechoshwa na mikataba ya kimangungo. Tunataka mkataba wenye tija kwa Taifa.
Walishajua sisi ni wajinga ndiyo maana wanatudharau snMuungano wa watanzani kwa pamoja ukiachana na wale wasiojielewa ndio umefanya Makosa ya Uhaini yana Dhamana mpaka sasa.
Kumbe wananchi hata robo tu wakiungana wanaweza kuhamisha mlima kilimanjaro
But immediately vitu vikaanza kuchange. Tukaacha kutetea nchi tukaanza kutetea dini.
Very true and very sad!Vitu vimeanza kuchange immediately au watanzania wameamua kudhihirisha kile kilichoko mioyoni mwao?
Hiki unachokiona kwa wakati huu ndiyo kinareflect kilichoko kwenye mioyo ya watanzania walio wengi ila wengi huwa tunavaa ngozi za kondoo.
Waswahili wanasema pata pesa watu wajue tabia yako.
Watanganyika tumechoshwa na mikataba ya kimangungo. Tunataka mkataba wenye tija kwa Taifa.