Tumeamua kufukuza watumishi zaidi ya 9000;vipi kuhusu mafisadi wa KAGODA, EPA, RICHMOND, DEEPGREEN, n.k?

Tumeamua kufukuza watumishi zaidi ya 9000;vipi kuhusu mafisadi wa KAGODA, EPA, RICHMOND, DEEPGREEN, n.k?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.

Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa kurudisha fedha wanazotuhumiwa kutuibia kupitia miradi/makampuni hayo niliyoyataja?

Kama kuna wahalifu waliotafuna nchi hii,basi sidhani kama kuna zaidi ya hao na si ajabu hasara iliyotokana na ufisadi wa kampuni moja tu kati ya hayo inazidi hasara yote iliyosababishwa na watumishi hewa pamoja na wenye vyeti feki.

Mambo mengine hata Mungu hapendi!

Soma
 
Nadhani sasa tungemalizana la madawa ya kulevya kwanza
 
Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.

Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa kurudisha fedha wanazotuhumiwa kutuibia kupitia miradi/makampuni hayo niliyoyataja?

Kama kuna wahalifu waliotafuna nchi hii,basi sidhani kama kuna zaidi ya hao na si ajabu ufisadi wa kampuni moja tu kati ya hayo unazidi hasara iliyosababishwa na watumishi hewa pamoja na wenye vyeti feki.

Mambo mengine hata Mungu hapendi!
WAFUKUZWE TU: ASLIMIA 94 WALIOBAKI WANA VYETI HALALI NA WATAFANYA KAZI. HATUKUKUTUMA UKAFOJI VYETI - BEBA MSALABA WAKO: NONSENSE
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Attachments

  • FB_IMG_14934440338926181.jpg
    FB_IMG_14934440338926181.jpg
    109.6 KB · Views: 25
Back
Top Bottom