Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mara ya mwisho tulikutana sehemu..na kila mtu akachukua namba ya mwenzako...na tokea hapo kila mtu akawa na hisia za kimapenzi na mwenzake....siku namtafuta akaniambia yuko na mtu niliumia sana..kumbe mwenzangu alikuwa nahisia zaidi juu yangu...na sasa tumeanza tena mawasiliano ingawa yuko mbali na ana mtu wake.....Hisia zetu zimekua kama zamani ama zaidi...
Najiuliza itakuaje na yeye ana mtu wake?....karibu ataolewa..ila anataka niwe naye japo siku moja ...msaada wenu naomba

Mwambie ahamie kwako!! Aachane huko aliko kama kweli mnapendana!! kama hawezi, potezea na acha kuwasiliana naye. Why should you wast your tym for something that's not yours?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMkuu angalia asije akazichukua mbegu zako akazipeleka kwa sangoma!
Wanawake washakuwa wabakaji!
hahaaaaaaaaaaaaaaaa umenikumbusha lamuja den vidorsasa kama hisia zake ziko kwako, kwa huyo aliye nae anafanya nini huko?
Huyo binti atakuwa na mapenzi ya tamthilia. Anampenda kwa dhati huyu, lakini anahusiano na yule.
hahaaaaaaaaaaaaaaaa umenikumbusha lamuja den vidor
...ndio maana naomba ushauri...Mwambie ahamie kwako!! Aachane huko aliko kama kweli mnapendana!! kama hawezi, potezea na acha kuwasiliana naye. Why should you wast your tym for something that's not yours?
nayafanyia kaziWatu wengine mnapenda kujipotezea direction nyie wenyewe! Wewe ameshakwambia ana mtu lakini unazidi kuzilazimisha hisia zako zikupe matumaini eti kisa anataka kuonja kwako!! Hebu mwambie amuache mwandani wake aje kwako uone kama atakubali! Acha upoyoyo tafuta chacho, mwanaume lazima usimamie upande wako na uwe na uhakika na ulicho nacho sio kuhang hang tu eti mradi mapenzi. Jisachi......................