monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Tumebakiza dakika chache ili tuweze kufanya mabadiliko ya kweli, chagua Tundu Lissu na Madiwani wake pamoja na Wabunge wake!
Tukumbuke vifo vya Watanzania wasio na hatia kama Aquelina, Azory Gwanda, Ben Rabiu Saanane na Kamanda Mawazo
Tukumbuke,Watanzania waliofukuzwa kazi kwa kisingizio cha vyeti hewa,wengine walikuwa wamebakiza miezi michache waweze kustaafu lkn, walifukuzwa kazi bila kupewa hata sent moja. Kwani serikali wakati inawaajiri haikujua kuwa wanavyeti feki?
Tukumbuke,Watumishi wa umma hawajaongezewa mishahara kwa muda wa miaka mitano sasa, hali ya maisha ni mbaya sana bidhaa zinazo-support maisha ya Watanzania ya kila siku zimepanda bei lakini, hakuna ongezeko lolote la mishahara kwaajili ya kuendana na hali ya maisha iliyopo tena, watumishi wa umma wanafanya kazi katika mazingira magumu sana.
Tukumbuke,kwa miaka mitano ya utawala wa Magufuli wafanyabiashara wamefilisiwa na TRA (TANZANIA REVENGE AUTHORITY) na wengi waliofilisiwa ni wale ambao hawakuwa wanakubaliana na CCM.
Tukumbuke, wapinzani wamefungwa na kupigwa risasi kisa wameikosoa ccm na Magufuli kutokana na unyanyasaji uliokuwa unafanywa na ccm kwa kipindi chote cha miaka mitano.
Tukumbuke, wananchi wa Bukoba waliambiwa kuwa "tetemeko halikuletwa na serikali" na mbaya zaidi hata michango waliochangiwa na wasamamria wema iliporwa na CCM na kubadilishiwa matumizi.
Tukumbuke,kauli ya Magufuli "mimi huwa nafanya maamuzi kutegemeana na nilivyoamka siku hiyo" hii ni kauli mbaya sana ambayo haikupaswa kutolewa na kiongozi kama yeye.Ipo siku ataamka na kufanya maamuzi mabaya na kutudhuru Watanzania wote
Tukumbuke, jinsi serikali ya CCM iliyoua sekta binafsi na kuua soko LA ajira, hivi sasa ajira hakuna, makampuni yamefilisika na mzunguko wa fedha umekuwa mdogo sana
Tukumbuke jinsi serikali ya ccm ilivyoharibu mahusianao kati ya nchi nyingine na Tanzania, maisha yamekuwa mabaya sana, Tanzania imekuwa kama kisiwa.
Suluhisho la haya yote ni kuichagua Chadema chini ya Kamanda mwenye maono Tundu Lissu pamoja na madiwani wake wote na wabunge wake wote!
Tarehe 28/10/2020 kura kwa Lissu!