October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kujifariji ni sehemu ya maishaDon't ever try !!.
Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.
Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
Muda ni Shahidi wa Kweli na Hakika.Kujifariji ni sehemu ya maisha
Bro unaongea kimamlaka sana na unaongea kwa past tense as though mipango imeshakamilika, kipi unakijua ambacho kimefichika machoni pa tulio wengi?Don't ever try !!.
Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.
Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
Kuwa umebonyezwa kizenji?Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Huko parokiani wameagizana kufanya maombi ya wiki tatu kuombea taifa haki October 2pm
No reforms No election
Mipango sio hiyo, mipango ni CCM tushinde uchaguzi
Kengemjane unajifariji mmedebweda kama mnapita Njombe saa tisa usiku
Kuwa umebonyezwa kizenji?
Don't ever try !!.
Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.
Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
Bahati mbaya mmefanywa Vipofu hata Signals hamzioni ni kama Farao vile! .🤣🤣
Kipindupindu kitakuua Mwaka huu. Naona waharisha. Na bado
Yaani kweli?!!! Haki ya Mungu Kuna watu mtakufa vinywa wazi kwa uongo na chuki., Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Fanya hima, kiza kinaingia.Bahati mbaya mmefanywa Vipofu hata Signals hamzioni ni kama Farao vile! .
Narudia , Hamtaonekana tena , Phase yenu Imeisha, Mwanzo Mpya umeanza.
Zingatia hili, Hamtaonekana tena na hamtakua na Uhuru, jiandaeni Kwa Giza na kuliona Jua Kwa Masaa machache Kwa watakaokua Hai, itakua Heri Kwa Wanaoanza Kufa Sasa !!.