Yale mambo matano (5) niliyosema UMMA kwa sasa hawezi kufanya chochote, ukiyajua kwa undani ndo utanielewa. Mlezi wa hayo yote anaitwa "ubinafsi". Hii ni nyongo iliyomezwa na watanganyika kuanzia ngazi ya familia hadi taifani. Leo unajidai una miaka zaidi ya 60 ya uhuru. Ni kitu gani hasa kimebadirika tangu uupate huo uhuru???Watu wa jf huwa mnajikuta wanafalsafa kuliko aristotle kwamba umepiga filosofi ngumuuuu nisiyoweza kung'amua. Amka ndotoni, ni kuwa mabadiliko hayatawahi haraka tudhaniavyo ila pia kusema yatachelewa kwa atleast miaka 200 ijayo huo ni uongo mkubwa, labda useme ulitumia hyperbole to get your point across
Huyu Lissu anatakiwa ale kitanzi wengine watie akili.Kazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Huyu Lissu anatakiwa ale kitanzi wengine watie akili.
Na sie tunajua jinsi mnavyojua kutunza "bikra" zeNYU! Ahahahahaha!!Nyie Wabara mnamatatizo. Tunajua roho mbaya zenyu
Kila kitu ni hatuaYale mambo matano (5) niliyosema UMMA kwa sasa hawezi kufanya chochote, ukiyajua kwa undani ndo utanielewa. Mlezi wa hayo yote anaitwa "ubinafsi". Hii ni nyongo iliyomezwa na watanganyika kuanzia ngazi ya familia hadi taifani. Leo unajidai una miaka zaidi ya 60 ya uhuru. Ni kitu gani hasa kimebadirika tangu uupate huo uhuru???
Narudia tena. Inahitaji "critical thinking" kunielewa nachosema. Sina uhakika kama ipo siku utanielewa labda ukifikisha miaka 200.
Amekuomba huruma Yako!?Mtekaji anahurumiwa vpDon't ever try !!.
Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.
Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
Usiku mmoja ni mrefu sana kwa binadamuKazi tumeshamaliza! Hakuna nyangenyange wala kumbikumbi aliyethubutu kuzuia mipango yetu. Tumebonyeza kizenji bonyeeeee! Wamegeuka mdebwedo. Na bado! Lisu wenu twamuachia msije Lia. Ametiatia huruma dadeki!
Usiku mmoja ni mrefu sana kwa binadamu
Hakunaa comment ya kipumbavu kama hiiDon't ever try !!.
Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.
Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
Yenye maana kubwa sanaHayo maneno tuu
Ahahahaha majuha hii nchi wako wengi sana..Don't ever try !!.
Kuhusu LISSU alishasema hataki Huruma, Tena akisisitiza mpeleke kesi Mahakama Kuu , akikutwa na Hatia anyongwe !!.
Kuhusu Samia , Ilikua ni jambo gumu na lisowezekana Kwa Nchi kuendelea kua Na Rais ambaye chini yake Utekaji utaendelea, Mauaji ya Watu wakiwemo Viongozi wa Dini yataendelea, Kesi za KISIASA ziendelee, Uuzaji wa Maliasili na Rasilimali za Nchi uendelee , Umasikini ukiongezeka Deni la Taifa likiongezeka , NI NGUMU MNO NA ISINGEWEZEKANA.
Niwaambie Watanzania, wawe na Amani, watulie na wawe na Furaha , SAMIA HANA NAMNA YOYOTE KUENDELEA KUA RAIS Licha ya hizi sarakasi zake , Kwanza Tumuonee Huruma !!.
Yenye maana kubwa sana