Tumecheza na CSKA Moscow yenyewe ya Champions League au CSKA Moscow ya Chekechea?

Tumecheza na CSKA Moscow yenyewe ya Champions League au CSKA Moscow ya Chekechea?

Naenda Kulala nitasoma Comments zenu nikiamka Kesho ila Siku zingine tusione Aibu kusema Daraja la Timu tunayoenda Kucheza nayo.
Washabiki wanaotumia akili badala ya mahaba pale Makolokolo ni wewe, Scars na Aden Rage tu wengine wote ni Mashabiki maandazi tu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu mnapenda kuaibika bila sababu za msingi. Haya ngoja nikisaidie. Picha ya kwanza ni kikosi kilichocheza. Inaonyesha walibadili kikosi kizima na kuwapa wengine nafasi ya kucheza kama Simba walivyofanya.

Picha inayofuata ni wachezaji wao wote waliosajiliwa msimu huu. Niambie kama hao wachezaji waliocheza hawapo kwenye roster yao. Humo ndani kuna hadi Wabrazil.

Screenshot_20230116-123500_Chrome.jpg


Screenshot_20230116-124442_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230116-123524_Chrome.jpg
    Screenshot_20230116-123524_Chrome.jpg
    107.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230116-123537_Chrome.jpg
    Screenshot_20230116-123537_Chrome.jpg
    97.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230116-123545_Chrome.jpg
    Screenshot_20230116-123545_Chrome.jpg
    103.6 KB · Views: 4
Naenda Kulala nitasoma Comments zenu nikiamka Kesho ila Siku zingine tusione Aibu kusema Daraja la Timu tunayoenda Kucheza nayo.
Inategemea wewe una majibu yapi kichwani kwako....
Ninachojua mimi ni kuwa kutikana na hali ya hewa ligi ya Russia imesimama toka November 2022 kutikana na baridi kali.
Asilimia kubwa ya timu za Russia ziko mabara mengine au nchi nyingine zikicheza mechi za kirafiki.
Pia wachezaji waliofunga magoli ya CSKA MOSCOW wote wawili ni wachezaji tegemezi wa kikosi cha kwanza..
Simba ilipofungwa mapinduzi cup hawakuwepo wachezaji waje wa kikosi cha kwanza ila ikawa Simba ndio waliofungwa.
 
Back
Top Bottom