Tumechoka au

Tumechoka au

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Hili ju kwaa saivi limepoa sna,au magonjwa yamekwisha!?au washauri wamechoka?sio siri hili jukwaa mm nalipenda sana nalinanisaidia sana katika maisha ukizingatia myaka yetu hii Afya ndo kila kitu.jamani tusichoke Mungu kama kakupa kipaji cha kushauri usibanie saidia wanao omba nsaada utabarikiwa sna na kupewa maisha marefu hapa duniani ili uendele kuwa taa kwa wenzako
 
Ni kweli siku hizi michango ya wadau imekua weak ukitofautisha na miaka ya nyuma. Mfano ukiwa na tatizo lako linalohitaji solution seriously toka kwa wadau ajabu utaambulia majibu ya short cut mpaka ujute. Sio jukwaa hili tu hata ukienda mmu mambo ni yaleyale. Mi mwenyewe huwa najiulizaga members wamekua wavivu wa kufikiria ama majukumu ya maisha yamezidi kupita kiasi.
 
Wanataka kulifanya kama facebook ee,jf ya watu wenye busara jamani ee
 
Back
Top Bottom