Hili ju kwaa saivi limepoa sna,au magonjwa yamekwisha!?au washauri wamechoka?sio siri hili jukwaa mm nalipenda sana nalinanisaidia sana katika maisha ukizingatia myaka yetu hii Afya ndo kila kitu.jamani tusichoke Mungu kama kakupa kipaji cha kushauri usibanie saidia wanao omba nsaada utabarikiwa sna na kupewa maisha marefu hapa duniani ili uendele kuwa taa kwa wenzako