Yaan tangia juzi ukiangalia habari humu ni simba sijui yanga sijui hirizi sijui manulaa yaan hata mambo ya maana hayajadiliwii . Mpira wenyewe hata hauna lolote . Acheni ujinga huu wa kugadithiana. Kama mmeuona wote af kutwa kubishana humuu ndo nini? Acheni watu wawaze menginee. Matim yenyewe hayana uwezo baas kutukeraa tuu humuu