Tumechoka kuumizwa!

why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Nambie, na wanawake hawacheat siku hizi?
 
Wewe nani kakuteua kuwa msemaji wa wanawake?

Na kwani wanawake wao hawaumizi? Manake wamejaa full usanii halafu ukiwauliza vipi kuhusu Fulani na Fulani unaambiwa ‘we are just friends’. Hamna lolote nyie.

Hahahahaha lol! Ahsante sana NN 🙂....Friends wanaoweza kuzima taa wakiwa pamoja na lisiharibike neno 🙂
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

in red&bolded, mtenda akitendewa....
 
Kama tungekuwa na mioyo na tabia za kike, naapa dunia isingekalika
Kwao ni sifa na furaha kuwalaumu wanaume tu
Heri ingekuwapo jinsia ya tatu

I can not blame u may be u av just shaped by ideologies and fake images kwamba wanaume ni liars so ulivyoingia ktk r/ship tayari ulikuwa affacted sychologically kwahiyo tatzo dogo nililipo tokea uliignore na kuwaza kwamba wanaume ndivyo walivyo hatmaye nyufa zikapanuka na kuangusha r/ship yako then unakuja kuleta kilio humu!!
Hakika if u want ur r/ship work! work for ur r/ship!!.............
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Cheating again.........huh!!
 
Kama unaona unadanganywa si tafuta zipu na kufuli funga hiyo 'kitu' kwa sababu sio lazima itumike. Ila kama unataka itumike, basi jiandae kwa lolote lile. Ni kama mpirani, ukiingia kucheza sio lazima utoke na ushind. Kuna kufungwa pia, kutoka sare au kushinda. Na unaweza ukavunjika mguu au mkono pia. Ukishaamua kwamba hii kitu sitaki kuitumia tena, basi na iwe hivyo.
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Labda kwa sababu mko wengi with varied qualities. Teteteteteteteeeeeee! Si unajua tena mko kama maua, with different colours and odour!
 
Maembe yakiwa mengi lazima uchague lililo tamu zaidi ya mengine hata kama tayari kwenye kapu kuna mengine, teteteteteteeee!.
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Ukizoea kula pilau anayopika mama yako pekee hutaweza kujua kama kuna wanawake/wamama wengine wanaojua kupika vizuri zaidi ya mama yako!
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

it takes two to tangle........................man and his concubine
 
Ukizoea kula pilau anayopika mama yako pekee hutaweza kujua kama kuna wanawake/wamama wengine wanaojua kupika vizuri zaidi ya mama yako!

pole sana ndyoko unaonekana huja enjoy kitu kupenda ndio maana unachangia kwa maneno ya kejeli ..pole sana kw tatizo ulilo nalo
 
Unapoumizwa na mpenzi wako usifikiri kuwa wanaume wote ni kama huyo mpenzi wako.
Pia, jiulize kwanini akuumize, labda ulichangi sana yeye kukuumiza.
Pole sana kwa kuumizwa!
 
Shosti mbona haya mambo yakawaida hasa dunia yetu ya leo,ukiwanae usipende ukajimaliza penda pole pole uwe muoga kufungua moyo wote,kama hayo uyawezi utaishia kufanywa kiti cha snema kila anaekuja anakalia akili kichwani mwako......

na haya mambo yenu sijui ya kutokufunguka moyo wote,

mnajikuta mpaka kwenye ndoa mnakuwa hivyo hivyo...............

sasa sijui sehemu nyingine hiyo ya moyo mwampatia nani?lol....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…