Labda kwa sababu mko wengi with varied qualities. Teteteteteteteeeeeee! Si unajua tena mko kama maua, with different colours and odour!
Utakuwa umekiona kilichomnyonyoa kanga manyoya... pole dada. Am a man, and got hurt by a girl. As for me, I might tell u, binadamu wote ni waovu. Ndio Maana hata bible inasema tunaokolewa kwa neema. Si mwanamume wala mwanamke, tofauti yetu ni uume na uke. The rest ni usanii tuu. Period!why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!
Wanaume always wanaona mwanamke ndo chanzo.nyie ndo mapapa,na wasababishaj wa wanawake kucheat,hampendek wala hambebek
Thanks mkuu... ni myopia na guilty consciousness inayodrive baadhi ya watu kukimbilia kulaumuI'm sick and tired of these one sided attacks from these people.
They go around portraying this innocent and wholesome persona when in actual fact they are just as bad as men are.
It's about time to start dispensing some too much truth up in here.
NN naona anataka kulia, ungekuwa mbele yake angekuchapa kofi!
na haya mambo yenu sijui ya kutokufunguka moyo wote,
mnajikuta mpaka kwenye ndoa mnakuwa hivyo hivyo...............
sasa sijui sehemu nyingine hiyo ya moyo mwampatia nani?lol....
Mbona umeangalia one side tu,inaonesha umeumizwa ww.
so you are an old experienced horse, is that what you mean?ILA NI KWELI NN WANAUME NI WAONGO, My viewpoints are based on what I have seen and observed and the different kind of liars I have met so far!
x- girlfriend wangu alipata ajali ya bus nikamlipia matitabu kwa miaka 2 akiwa kitandani kila kitu juu yangu hata ndg zake waliaza kumuona mzigo, sikukata tamaa alipo anza kutembea kwa kutumia magongo akaomba akae moshi kwa shangazi yake , baada ya miezi 6 napata taarifa kuwa anaolewa na wakati huo tayari anamimba ya miezi 4 je nimaumivu kiasi gani? niliyo pata
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!
waambie aisee, kila siku wanatuvunja moyo