Tumechoka matamko juu ya MSD, hatua za uwajibishwaji zifuatwe

MSD wapewe UVCCM kama walivyopewa sensa
 
Ummy Mwalimu anaamini matamko yake ya ovyo ndiyo uongozi. Tanzania haijawahi kupata waziri wa ovyo Kama huyu mwanadada. Nchi haiongozi kwa matamko bali kwa sheria na taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…