Tumechoka sasa! Hawa wanawake wanaosingizia watu mimba pia nao washtakiwe

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau,

Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa namba hii.

Mimi ushauri wangu huyo msichana na genge lake lilioshiriki kuyengeneza io kesi washatakiwe na walipe fidia ili ipunguze haya matukio

Wanaume haki zetu zinabinywa tuamke shwain.
 
Hyo ilikuwa Case ya sabaya kumkomesha diwani baada ya kukataa kuunga juhudi ndo case ikawa hvo Hadi Mambo ya DNA so laumu ushenzi wa sabaya kutumia vibaya madaraka ili kukomoa
 
Sabaya ni mjinga sana na mkatili sana mshenzi huyu.
 
Factors zinazomfanya mwanamke mpaka akubambikie mtoto ni zipi...?
 
Unaweza kushangaa huyo unayemuona, kukusomesha na kukulea siyo biological father wako. Ila ni siri ya mama. Nako huko ni kubambikiwa mtoto

Sisi wanaume tuna majaribu mengi sana km ukiwa kwenye nyadhifa za juu. Kanatumwa kabinti kamevaa kimtego, unakapitia kumbe umewekewa mtego unase.

Ndiyo km hivyo Ukipita mtaani kuna wanaume wengi wamebambikiwa watoto na hawajui na wanalea
Factors zinamfanya mwanamke mpaka akubambikie mtoto ni zipi...?
 
Sabaya ni mjinga sana na mkatili sana mshenzi huyu.
Katesa sana watu kijana mdogo alikuwa anaumiza watu wasio na hatia huku yeye akiwa kijana anayehitaji kuja kufanya mengi
 
Hivi humu Jfm hakuna viongozi ambao wapo serikalin ambao wabaona nyuzi za malalamiko kuilalamikia mambo mbali mbali.
 
Habari wadau,

Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa namba hii.

Mimi ushauri wangu huyo msichana na genge lake lilioshiriki kuyengeneza io kesi washatakiwe na walipe fidia ili ipunguze haya matukio

Wanaume haki zetu zinabinywa tuamke shwain.
Tena itungwe sheria kali juu ya hilo, kwa sababu imekua ni kama tabia sasa na unawaumiza na kuwaonea wanaume
 
Back
Top Bottom