Sabaya ni mjinga sana na mkatili sana mshenzi huyu.Hyo ilikuwa Case ya sabaya kumkomesha diwani baada ya kukataa kuunga juhudi ndo case ikawa hvo Hadi Mambo ya DNA so laumu ushenzi wa sabaya kutumia vibaya madaraka ili kukomoa
Ndomana alilia jicho mojaHyo ilikuwa Case ya sabaya kumkomesha diwani baada ya kukataa kuunga juhudi ndo case ikawa hvo Hadi Mambo ya DNA so laumu ushenzi wa sabaya kutumia vibaya madaraka ili kukomoa
Factors zinamfanya mwanamke mpaka akubambikie mtoto ni zipi...?
Katesa sana watu kijana mdogo alikuwa anaumiza watu wasio na hatia huku yeye akiwa kijana anayehitaji kuja kufanya mengiSabaya ni mjinga sana na mkatili sana mshenzi huyu.
[emoji3][emoji3] analia jicho moja ka mwanga.Ndomana alilia jicho moja
High hillsFactors zinazomfanya mwanamke mpaka akubambikie mtoto ni zipi...?
Tena itungwe sheria kali juu ya hilo, kwa sababu imekua ni kama tabia sasa na unawaumiza na kuwaonea wanaumeHabari wadau,
Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa namba hii.
Mimi ushauri wangu huyo msichana na genge lake lilioshiriki kuyengeneza io kesi washatakiwe na walipe fidia ili ipunguze haya matukio
Wanaume haki zetu zinabinywa tuamke shwain.