Tumechoka sasa! Hawa wanawake wanaosingizia watu mimba pia nao washtakiwe

Arudi mahakamani akafungue kesi ya madai dhidi ya serikali na Kisha huyo mbambikaji! Adai pesa ya maana! Huyo mbambikaji atamtaja aliyemtuma tu kwa hakika na Kama ni sabaya mshitaki aombe aunganishwe kwenye kesi ili kumtia adabu!
 
Tena itungwe sheria kali juu ya hilo, kwa sababu imekua ni kama tabia sasa na unawaumiza na kuwaonea wanaume
Io itakuwa poa sn !!!

Yaan mm huwa hata sielewag yaan mtu anakubambikizia kesi kubwa km io miaka 30 kifungpn afu unashinda keai kisha mahakama inamuachia tu aende eti kisha ni mwanamke na ana mtoto
 
Io itakuwa poa sn !!!

Yaan mm huwa hata sielewag yaan mtu anakubambikizia kesi kubwa km io miaka 30 kifungpn afu unashinda keai kisha mahakama inamuachia tu aende eti kisha ni mwanamke na ana mtoto
Ni kwa sababu hakuna sheria inayombana, ikiwekwa sheria kesi za namna hii zitapungua
 
Ashtakiwe!!
 
Hivi humu Jfm hakuna viongozi ambao wapo serikalin ambao wabaona nyuzi za malalamiko kuilalamikia mambo mbali mbali.
Wapo tena wapo weng ila tatizo lao moja wapo busy kulinda brand zao kuliko kufuatilia social issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…