Tumechoka sasa! Kila mchezaji mnamfananisha na Chama

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Tafuteni mchezaji mwingine, mbona wapo wengi! Kila siku ni Chama Chama! Mlianza kumfananisha na Mkoko, mkaja Feisal na Chama, Mara Azizi K na Chama.., mkaja Aucho na Chama .. sasa hivi ni Pacome na Chama! Kwani huyu Chama ni nani????

Tafuteni wengine basi! Semeni hata Pacome na Chasambi angalau mumpumzishe Chama
 
Mbona chama mwenyewe hachoki kufananishwa we kolo... kaa kutulia football ina wenyewe
 
Kwani Aziz Ki Walishamwondoa pambano La Mfanano na Chama.?

Consistence jamani muhimu...Mbona CR7 na Messi hadi Leo wanaendelea na mpambano Wao Wa Mfanano..!

Msituchanganye..!
 
Jibu ni rahisi sana Chama ni mchezaji bora wa kigeni wa muda wote kuwahi kucheza ligi ya Tanzania ndio maana anatumika kama kipimo cha ubora kwa wachezaji wote wanao jitahidi kufanya vizuri kwenye ligi
 
Hebu kunywa soda nakuja kilipa hapo
 
Jibu ni rahisi sana Chama ni mchezaji bora wa kigeni wa muda wote kuwahi kucheza ligi ya Tanzania ndio maana anatumika kama kipimo cha ubora kwa wachezaji wote wanao jitahidi kufanya vizuri kwenye ligi
Kama unaweza kunywa soda mbili, mimi nitalipia ya pili
 
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOFANANISHWA NA CHAMA.

1. HARUNA NYONZIMA.
2. SAODO NTIBAZONKIZA.
3. FEISAL SALUM.
4. AZIZI KI STEPHEN.
5. MAX NZEGELI.
6. PAKOME ZIZUUU.
7.....
8........
100
 
Hii mada tuacheni,kuna mtaa mtu kapigwa kisu kisa ubishi wa Chama na Pacome
 
Jibu ni rahisi sana Chama ni mchezaji bora wa kigeni wa muda wote kuwahi kucheza ligi ya Tanzania ndio maana anatumika kama kipimo cha ubora kwa wachezaji wote wanao jitahidi kufanya vizuri kwenye ligi
Pata chochote kwa Mangi, bill juu yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona chama mwenyewe hachoki kufananishwa we kolo... kaa kutulia football ina wenyewe
Pole kwa kuzimia uwanjani😁😁😁. Umemaliza dozi Utopolo?
Uto ushindi kwao ni vitu vigeni. Ingekuwa Yanga imeifunga Galaxy 6-0.
Washabiki wa Uto na Ally Kamwe wangekufa uwanjani kwa furaha😁😁😁😁
Mtu kapigwa 6-0 halafu watu kimya kama pajatokea kitu. Ndiyo ujue ushindi kwa Simba nj vitu vidogo sana na tumeshazoea
Mechi ya Al Ahly imewafunga mdomo😀😀😀😀. Utopolo bana, walifikiri wataenda kuifunga Al Ahly
 
Tafuteni mchezaji mwingine, mbona wapo wengi! Kila siku ni Chama Chama! Mlianza kumfananisha na Mkoko, mkaja Feisal na Chama, Mara Azizi K na Chama.., mkaja Aucho na Chama .. sasa hivi ni Pacome na Chama! Kwani huyu Chama ni nani????

Tafuteni wengine basi! Semeni hata Pacome na Chasambi angalau mumpumzishe Chama
Duh! Rage ajengewe sanamu tu....umeonyesha dalili za afya ya akili [emoji817]

Mbumbumbu ni msibaaaaa
 
Back
Top Bottom