PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Kila siku mnamtaftia kipimo kipyaMbona chama mwenyewe hachoki kufananishwa we kolo... kaa kutulia football ina wenyewe
Hebu kunywa soda nakuja kilipa hapoJibu ni rahisi sana Chama ni mchezaji bora wa kigeni wa muda wote kuwahi kucheza ligi ya Tanzania ndio maana anatumika kama kipimo cha ubora kwa wachezaji wote wanao jitahidi kufanya vizuri kwenye ligi
Kama unaweza kunywa soda mbili, mimi nitalipia ya piliJibu ni rahisi sana Chama ni mchezaji bora wa kigeni wa muda wote kuwahi kucheza ligi ya Tanzania ndio maana anatumika kama kipimo cha ubora kwa wachezaji wote wanao jitahidi kufanya vizuri kwenye ligi
Pata chochote kwa Mangi, bill juu yangu.Jibu ni rahisi sana Chama ni mchezaji bora wa kigeni wa muda wote kuwahi kucheza ligi ya Tanzania ndio maana anatumika kama kipimo cha ubora kwa wachezaji wote wanao jitahidi kufanya vizuri kwenye ligi
Pole kwa kuzimia uwanjani๐๐๐. Umemaliza dozi Utopolo?Mbona chama mwenyewe hachoki kufananishwa we kolo... kaa kutulia football ina wenyewe
Duh! Rage ajengewe sanamu tu....umeonyesha dalili za afya ya akili [emoji817]Tafuteni mchezaji mwingine, mbona wapo wengi! Kila siku ni Chama Chama! Mlianza kumfananisha na Mkoko, mkaja Feisal na Chama, Mara Azizi K na Chama.., mkaja Aucho na Chama .. sasa hivi ni Pacome na Chama! Kwani huyu Chama ni nani????
Tafuteni wengine basi! Semeni hata Pacome na Chasambi angalau mumpumzishe Chama