Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kumekuwa na tabia moja ambayo ikiachwa badae italeta taflan kubwa sana maana kuna siku nina uhakika tutagawana mbao na tutagawana mbao kweli kweli maana uvumilivu sasa umetushinda aisee
Kwanini kila picha ikipigwa hata kama ni ya waigizaj wa ghana au nigeria husingiziwa ni wasukuma au wanyakusa pale inapo onekana imekaa kishamba shamba
Yaan ukikuta picha poz lake halieleweki watu wanaibarishia maelezo na kutaja kabila la kisukuma au kinyakusa
Kwanini mnafanya hivyo kwanini huwa hamtaji wachaga, wahaya, wadigo, au wagogo kwanini mnatuandama sana sana wasukuma na wanyakusa
Tumechoka sasa mtupumuzishe mkiendelea kuna siku tutagawana mbao maana sisi mungu ndo katujalia mili mikubwa hivyo tutakuwa tunapiga kama tunapiga watoto wetu
Endeleen mnachokitafuta mtakipata
THIS IS LAST WARNING
BOY FROM LONDON