Tumechoka sasa na sisi mtuache kwanini kila picha ya kishamba husingiziwa wasukuma na wanyakusa? Mtuache

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kumekuwa na tabia moja ambayo ikiachwa badae italeta taflan kubwa sana maana kuna siku nina uhakika tutagawana mbao na tutagawana mbao kweli kweli maana uvumilivu sasa umetushinda aisee

Kwanini kila picha ikipigwa hata kama ni ya waigizaj wa ghana au nigeria husingiziwa ni wasukuma au wanyakusa pale inapo onekana imekaa kishamba shamba

Yaan ukikuta picha poz lake halieleweki watu wanaibarishia maelezo na kutaja kabila la kisukuma au kinyakusa

Kwanini mnafanya hivyo kwanini huwa hamtaji wachaga, wahaya, wadigo, au wagogo kwanini mnatuandama sana sana wasukuma na wanyakusa

Tumechoka sasa mtupumuzishe mkiendelea kuna siku tutagawana mbao maana sisi mungu ndo katujalia mili mikubwa hivyo tutakuwa tunapiga kama tunapiga watoto wetu

Endeleen mnachokitafuta mtakipata

THIS IS LAST WARNING

BOY FROM LONDON
 
Unajaza saver ya JF bure


Go back to school Dude


Swissme
 
Na nyie kutania wahehe kuwa kila anaejinyonga muache,...Na kwamba wala wow! wow!
 
Mkuu mti wenye Matunda hupigwa Mawe usijali mkuu...
 
Mmechoka au umechoka? Anyway,ukiona unataniwa sana ni moja ya Dalili kuwa unapendwa
 
Ulevi husingiziwa wachaga
Ushoga ni kwa wanaume wa dar
 
Nyie ni washamba sana hata mkiwa mna kitu lazima mjishaue muwe namadharau yaani mpelekeshe watu napia kila kitu muonekane mnajua acheni ushamba hamjui kuvaa kila kitu nyie niwashaambaaaa.
 
Pumuzisha ndio kitu gani..

Ona ndugu yako mwingine huyu anakuaibisha, ameomba kazi kiwanda cha sigara kaambiwa alete passport [emoji134]
Wasukuma kwanini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…