Tumechoka sasa na sisi mtuache kwanini kila picha ya kishamba husingiziwa wasukuma na wanyakusa? Mtuache

Pumuzisha ndio kitu gani..

Ona ndugu yako mwingine huyu anakuaibisha, ameomba kazi kiwanda cha sigara kaambiwa alete passport [emoji134]
Wasukuma kwanini lakini?
Umejuaje kama huyo ni msukuma
 
Hahaha mbona sisi wahaya tunasemwa sana ila wetu ni uvumilivu tu
 
Waskuma ushamba wenu upo kwenye
Dam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…