Wanafunzi wenzangu tulio field wiki ya tatu imeisha bila hata dalili za kupewa hela. Tumedhalilika vya kutosha sasa huku viongozi tuliowapa dhamana wakiwa mabubu na kuzimwa na wenyenchi. Chaajabu wameshindwa hata kuitisha press comference in order to make the public aware of the situation. Daruso nimewafata ofisini several times but majibu yao yanaonyesha kwamba woga umewatawala na hawana ubavu wa kusimamia haki zetu. Ni muda wa wananchi wanaoumia field kuandaa hata maandamano kupinga huu uhuni wa serikali yetu. UKIWA NA UWOGA DAIMA KUBALI KULIWA HATA ILE SHARE YAKO. Wadau njooni hapa tupange how to move this issue.