Tumechoka...This is too much.

Majanga90

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
77
Reaction score
12
Wanafunzi wenzangu tulio field wiki ya tatu imeisha bila hata dalili za kupewa hela. Tumedhalilika vya kutosha sasa huku viongozi tuliowapa dhamana wakiwa mabubu na kuzimwa na wenyenchi. Chaajabu wameshindwa hata kuitisha press comference in order to make the public aware of the situation. Daruso nimewafata ofisini several times but majibu yao yanaonyesha kwamba woga umewatawala na hawana ubavu wa kusimamia haki zetu. Ni muda wa wananchi wanaoumia field kuandaa hata maandamano kupinga huu uhuni wa serikali yetu. UKIWA NA UWOGA DAIMA KUBALI KULIWA HATA ILE SHARE YAKO. Wadau njooni hapa tupange how to move this issue.
 
mkuu hata wao wanajuakuwa now tuko weak sana kwa kuwa tuko separate by the way Mimi hawa jamaa washa nichosha kitambo!!!!!
 
polen sn jaman tupo nyuma yenu, mm ni raia wa kawaida ila nachukizwa sn na viongozi washenzi wasiojali wanaowafanya wawe katika hizo nafasi, na hii yote imesababishwa na serikali mbovu iliyoko nadarakani, anzishen maandamano wananzengo tutawaunga mkono hawa washenzi wameshatuchosha
 

Asante kwa kuliona hilo ndugu wiki ya tatu watu wamebaki ombaomba tu na isitoshe hiyo hela ni ya mkopo na inarudi na riba mwishoni wakija kuitoa unakuta unaishia kulipa madeni maada wakopeshaji wenyewe wanataka riba
 
kuna jamaa kanidokezea eti hazina hawana pesa na inawezekana tusipewe mpaka oktoba tutakapofungua chuo
 
Mlivyokuwa na akili za nguchiro mwakani mtaichagua CCM.
 
kuna jamaa kanidokezea eti hazina hawana pesa na inawezekana tusipewe mpaka oktoba tutakapofungua chuo

Kama ipo hivo aisee hali itakuwa mbaya sana, mbona kuna tetesi kuna fungu limetoka hazina leo kwenda Heslb but watagawa kwa baadhi tu kwanza
 
Habari! JANA VIONGOZI Wa serikali ZA wanafunzi walienda bodi pamoja Na VIONGOZI Wa TAHILISO ( Umoja Wa serikali za wanafunzi Wa vyuo vikuu) , Mkurugenzi Wa Bodi ya mikopo amesema kuwa Fedha zimepatikana kwa ajili ya vyuo vichache ikiwemo SUA,UDSM,UDOM,MIPANGO N.K. Taratibu za kibenki zikikamilika cheque itafika chuoni kwa ajili ya kuingizwa kwenye account za wanafunzi mapema WK ijayo iwezekanavyo...HII NI BAADA YA KUWATUMIA MESEJI JUZI NIKAKUTANA NA BAADHI YA TAHLISO LEADERS NIKASHAURI WAFUATILIE KABLA HATUJAITISHA SISI WANAHARAKATI PRESS CONFERENCE .....
 

Huu uzi kama ni kweli itakuwa good newz but tukirudi chuo hawa maraisi watafute hoja za maana za kutujibu aisee
 
huu uzi kama ni kweli itakuwa good newz but tukirudi chuo hawa maraisi watafute hoja za maana za kutujibu aisee

chini kupiga lazima....tutaifufua rev.square,kule sua muifufue freedom square,udom fufueni nyerere square na vyuo vingine tuache ubinafsi na uoga mimi ndie ninayeratibu mapinduzi haya.......tujadili hoja nyingi za msingi ikiwemo kupiga chini maraisi hawa na katiba na mambo mengine ya kitaifa......nimerudi tena na nipo tayari kwa lolote........ela itatoka tu mkuu usihofu.....





"It does not matter how small you are if you have
faith and plan of action revolution is possible." - Fidel Castro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…