Tumefahamiana chini ya miezi 2,Nikajitambulishe!!!!!!

Sasa we shangashangaa daily unakamuliwa lunch..! mara kinaibuka kidume kinabeba mzigo unaanza kujirahumu (ZOBA). si uliuona ule wimbo wa Banana Zorro.
 
Umefanya kazi nae muda gani?

Fanya u FBI kwanza upate faili lake kwa urefu, esp kwa mtu unayefanya naye kazi hamna ugumu ulizia ulizia kwa washikaji ambao unajua watakwambia ukweli. Then fanya ka background check kama vile sehemu alizoishi na shule alizosoma hii huwa inasaidia sana

swala la kujitambulisha miezi 2? If i were you BIG NOOOOOO labda inawezekana huyu demu alikuwa na mshikaji mmoja amemwagwa hivi karibuni so demu bado ana machungu anataka kwenda kumringishia asionekane amekaa muda mrefu bila mtu na kama bado demu anampenda huyu mshikaji akirudi tu mzee umekwisha.
 
ni dhahiri hauko tayari.....................never late is better,mwambie tu ukweli ka huwezi kuliko kumzungusha tu kila siku.
 
Bro na ukijaribu kula chakura cha bwana 2 utaambiwa honey nina mimba yako, lakini kumbuka A SMART MARY SOON.
 
Haraka ya nini ndugu yangu, wewe ni mwanaume,una kauli katika hili na unapaswa kuwa kiongozi....chukua muda kumfahamu huyo dada vizuri, hata miezi ya kupima HIV hujamaliza....usicheze na commitment utakayoiweka kwa wazazi wake...ukiivunja una laana yako.
Zungumza nae kwa hekima na umshauri asubiri kidogo,mzidi kufahamiana na ikiwapendeza mchukue hatua ya kuwaona wazazi huko mbele.
 
Acheni mapenzi ya ajabu jamani,miezi miwili mkatambulishane jamani!mmh!.labda kama mmeshaenda far away.
 

Like like like!

Kama anataka kumfahamu huyo mdada, hakuna njia nzuri kama kumeet ndugu zake! Unless hayupo interested! Anaweza kujitambulisha kama colleague tu. Mdada knows what she wants, ila mkaka is kinda scared; naona watamake good couple; mdada is active na mkaka reflective (sijui wanasaikolojia wanawaterm vipi)
 


nenda kajitambulishe kwao, kwani tataizo liko wapi, kwenu usimpeleke mpaka uridhishe nafsi yako
 
Mdau nashukuru ushauri wako nitauzingatia.
Kwa hii miezi 2 tushafanya HIV test na tupo fresh,
 
Nashukuru kwa ushauri,
Tatizo yy anataka nitambulike kwao kama mchumba kitu ambacho mi kimenipa wasiwasi.
 
nenda kajitambulishe kwao, kwani tataizo liko wapi, kwenu usimpeleke mpaka uridhishe nafsi yako
Mkuu hapo umenipa wazo jipya ambalo nafikiri litanifaa,
manake mi nilikuwa naogopa kupata aibu home kama hatutaenda mbali.
 
Acheni mapenzi ya ajabu jamani,miezi miwili mkatambulishane jamani!mmh!.labda kama mmeshaenda far away.
Ndo maana hata mm nilishtuka CBrown, km vile kunakitu nataka shikishwa!!!!
 
Sasa we shangashangaa daily unakamuliwa lunch..! mara kinaibuka kidume kinabeba mzigo unaanza kujirahumu (ZOBA). si uliuona ule wimbo wa Banana Zorro.
Mkuu hizo lunch hazikwepeki manake nazitumia kama pilot study
 
Unaweza ukatumia muda mwingi na usitambue mabaya yake kwa kuwa hitaji lake halijatimia.Wasichana weng ndivyo walivyo,shida yao ni kuolewa baada ya ndoa sasa tabia zake ndo utazijua na ndo utakapomjua yeye ni nani.Wewe waweza hisi anakupenda saaana kumbe hamna kashaachwa sana,time is running to infinite na anatamani awe na wake kwa hiyo ndo maana anafosi kwa udi na uvumba.Tafakari,chukua hatua.
 
its earlyi mjomba hebu subiri kidogo umsome huyo mdada looh!:A S embarassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…