MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Vijana wengi hawana utapiaK, wanachakata K kwa kwenda mbele au wanapiga chaputa. Tatizo sugu ni utapiamlo. Vijana wengi hawali balance diet.
Elimu ya lishe itolewe, tutapoteza nguvu kazi yetu.